Showing posts with label Game Kupanga. Show all posts
Showing posts with label Game Kupanga. Show all posts

Friday, July 13, 2012

BOOKWORM DELUXE!

0 comments

Tutakutamkia : F-U-N! Shabihisha herufi na unda maneno katika gemu hii ya mafumbo. Lex, Bookworm mwenyewe,ishi kwa kula herufi unazoziunda kwa kuziunganisha pamoja. Mshibishe kwa kujaza tumbo lake ndiiii na utajipatia pointi nyingi. Gemu hii usihofu muda, tulia na panga kwa makini muvu zako. Jiangalie: Ukichoma tiles nyekundu zinazotishia kuanzisha moto library.

  • Tamka maneno upate point za nguvu.
  • Panga pangua na panga tena ndo aina ya gemu hii.
  • gemu itayokushughulisha kwa watu wa umri wowote.


System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 10 MB






Download Bure

PEGGLE DELUXE

0 comments

Pima shabaha na onesha ufundi wa kulenga katika gemu hii! Lenga, piga, futilia mbali ORANGE PEGS, kisha tulia ufurahie waalimu 10 wakikuongoza kwenye kilele cha juu cha Peggle. Shinda level  55 na 10 za kimiujiza, ukijizolea BONUS POINTS na michomo itakayokufurahisha kwa majuma. Unaweza pambana na rafikio kwenye Duel Mode, ama jipime na michezo 75 zaidi ya kukupima ujanja. Ni mchanganyiko wa bahati, kipaji na msisimko wa raha, na kwa yote haya yakusisimua swali linabaki kua moja tu: Unaweza kua Peggle Master?
  • Levo 55 za hali ya juu.
  • Gemu ya kiufundi zaidi.
  • Power-ups zaidi na vikwazo.



System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista/7
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 21 MB






Download Bure

BEJEWELED 2 DELUXE

0 comments

Ni kuonesha maarifa ya kupanga vinavyofanana kupitia Bejeweled 2. Umeshawahi jiulizwa kwa nini mara nyingi gemu za kufananisha vitu vitatu watu wengi huzeinjoy? Jaribu na utajua. Kwa kukuondolea uchovu na kukupa nguvu ya kucheza zaidi. Utaendelea kuenjoy.
  • Njia 4 za kucheza.
  • Gemu uchezayo sasa kukutengenezea njia nzuri baabae.
  • Game maarufu ya mafumbo.

System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista/7
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 38 MB







Download Bure

JIGSAW BOOM

0 comments

WEKA sawa na upange mafumbo haya kwa haraka uwezavyo kwenye hii  Jigsaw Boom! Fungua hii box la Jigsaw na jaribu kupanga picha hizo nyingi na tofauti tofauti. Badili kiwango cha vipande kwa fumbo, fanya vipande vipinduke ama kubadili mkao, na chagua kutoka aina mbalimbali za picha kutoka kwenye gemu hii nzuri. Ikisaidiwa na picha nzuri pamoja na mazingira bomba, kila fumbo ni uhakika litasababisha uvinjari kuelekea mahali pa amani ndani ya Jigsaw Boom!
  • Picha nzuri
  • Mazingira bora sana
  • Fumbua mafumbo tata!


System Requirements:
  • OS: Windows XP/Windows Vista/Windows 7
  • CPU: 1.0 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 51 MB






Download Bure

ZUMA REVENGE!

0 comments

ANGALIA usipoteze roho na hakikisha hakuna kinachokatisha ndani ya  Zuma’s Revenge – Adventure, gemu nzuri ya vijigoroli. Shinda kila levo kwa kufyatua matufe ili kuweka ufanano, na washinde mabosi ^ wajiitao TIKI. Ruka kutoka Uanja mmoja hadi mwingine ili upate kurenga sawia! Epuka makosa wa kurusha tufe pasipo.
  • Game maarufu Bongo
  • Ushindani zaidi kwa mabosi
  • Ruka kwenye action za kuvunja mipira


System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/7
  • CPU: 800 Mhz
  • RAM: 256 MB
  • DirectX: 8.1
  • Hard Drive: 108 MB







Download Bure
Powered by Blogger.